cyril
cyril @cook_23397332
Ushatufikisha Kampala hapa... wacha turudi pwani.
cyril
cyril @cook_23397332
Kwetu ni ndizi za bokoboko na nazi tu.
Lui Gideon
Lui Gideon @LVanderbilt
Poa. Natumai utarusha recipe ye bokoboko na Nazi.