Vitumbua With Buttermilk* • By Laymoz's Zenji Delicacies • Mahitaji* • Mugs Mchele ulorowekwa overnight au masaa mengi enough kurowanika • Sukari same mug kasorobo • Hamira pakti mbili au • Hiliki na Vanilla kiasi • Nazi kipande ya chicha au ya unga au ya maji ambayo ukishasaga upate same mugs mbili • Ute wa yai Moja • Buttermilk 1/4 cup nimetumia (measuring cups) • Mafuta, Chuma na kijiti hivo kwa ajili ya uchomaji