Soft yummy vitumbua/ rice pancakes

Laylunnar Mohammed
Laylunnar Mohammed @cook_25614198

Pls jaribu kisha niambie vipi zimetokea, buttermilk inazidisha ulaini na utamu kabisa
Watch them on my YouTube @Laylunnar Delicacies

Soft yummy vitumbua/ rice pancakes

Pls jaribu kisha niambie vipi zimetokea, buttermilk inazidisha ulaini na utamu kabisa
Watch them on my YouTube @Laylunnar Delicacies

Edit recipe
See report
Share
Share

Ingredients

  1. Vitumbua With Buttermilk*
  2. By Laymoz's Zenji Delicacies
  3. Mahitaji*
  4. 2Mugs Mchele ulorowekwa overnight au masaa mengi enough kurowanika
  5. Sukari same mug kasorobo
  6. 2 tbspHamira pakti mbili au
  7. Hiliki na Vanilla kiasi
  8. Nazi kipande ya chicha au ya unga au ya maji ambayo ukishasaga upate same mugs mbili
  9. Ute wa yai Moja
  10. Buttermilk 1/4 cup nimetumia (measuring cups)
  11. Mafuta, Chuma na kijiti hivo kwa ajili ya uchomaji

Cooking Instructions

  1. 1

    Mataarisho*

    Kwenye blender weka mchele wote,hamira kisha na mug moja ya Tui sagaa

    Kisha kusagika weka sukari na ute wa yai sagaa

    Kisha weka hiliki naa vanila ongeza na nusu ya tui na BMilk sagaaa mpaka uwe soft wa vichenga kwa mbali

    Mimina kwenye chombo koroga umalizie na tui lilobaki
    Funika uzuri wacha uumuke

    Ukiwa tayari choma kwenye chuma chake uloeka maafuta geuzi kwa kijiti mpka kufikia rangi utopenda

    Serve na Chai au anza kula kula jikoni mpaka vibaki vitano kwa utamu

    Enjoy ☕

Edit recipe
See report
Share

Cooksnaps

Did you make this recipe? Share a picture of your creation!

Grey hand-drawn cartoon of a camera and a frying pan with stars rising from the pan
Cook Today
Laylunnar Mohammed
Laylunnar Mohammed @cook_25614198
on

Comments

Similar Recipes