kikombe blueberries ziweke 1tsp unga changanya weka upande • kikombe blueberries za kueka ndani • kikombe Siagi yyte • kikombe mafuta • kikombe sukari • kikombe mtindi • unga mweupe • Bpoda, 1tsp Bsoda, chumvi kidunyu • yai kubwa moja • vanilla • For crumb za juu • Siagi, 30g Sukari ya brown na 50g unga mweupe