Mbaazi za nazi.#local ingredients contest

Steps
- 1
Pasua nazi yako, kuna kwa kutumia mbuzi.Kamua kutoa tui la kwanza na la pili.
- 2
Weka mbaazi zako zilizochemshwa tayari.
- 3
Andaa mahitaji yako.l, tayari kwa kupika.
- 4
Weka kitunguu kwenye sufuria,tia mafuta ya kutosha kisha pika kwenye moto mdogo taratibu.
- 5
Kitunguu kisiunguee* weka saumu yako uliotuangaa kisha koroga.
- 6
Pika kwa dakika moja ukiweka maji kuzuia kuungua.
- 7
Weka nyanya zako na chumvi ya kutosha,koroga,funika na pika kwa dakika 2.
- 8
Koroga,Pima vijiko 2 vidogo vya Curry powder na uweke kwenye nyanya,koroga kwa sekunde kadhaa.
- 9
Chukua mbaazi zako, hakikisha ni Kavuu bila yale maji ya kuchemshia,weka kwenye mchanganyiko wako na ukoroge bila kuacha.Utanzaa kuona mabaazi zinakuwa na uzito....sio moja moja tena.
- 10
Chukua hoho yako na uweke (naweka hoho hapa ili ladhaa yake kwenye chakula iwepo)weka na Pilipili yako.
- 11
Chukua tui la nazi lile la pili mimina,koroga na ufunike.Funua pale linakaribia kukaukia.
- 12
Weka tui lile zito la kwanza,koroga,funika na uepue baada ya dakika 15.
- 13
Weka dania.Tayari kwa kupakua.
Similar Recipes
More Recipes
-

Garlic-Lemon Pepper Chicken Wings
Sarvat Hanif
-

Caramia Sommers
-

Coffee and Hazelnut No Churn Ice Cream
Rianne Van setten
-

Mix Veg. Kofta in Tomato Gravy
Hetal Poonjani
-

Isabel
-

Spiced Chai (Cooking With Spice Cookbook)
Cluelesskitty
-

Mango Smoothie Bowl With Nuts And Mix Seeds
Navnita Jaiswal
-

Gabriel Ivarsson
-

Easy Crockpot Mexican Taco Casserole
🌈NinjaMommaKitchen🌈
-

Pawon Indo Bule
-

🌈NinjaMommaKitchen🌈
-

1953kenny
-

Ramen Egg 味付け玉子 (Ajitsuke Tamago)
Fisiana Cahyadi (@Xian_cookingdiary)
-

Nafisa Idaya(Ummu Nazifs Kitchen)
-

Pawon Indo Bule
-

Kuldeep Kaur
-

nusaybah ahmad
-

Yetunde Mary Adebanjo -

Uzma Ahmad
-

Cabbage Pork Remix # Local Ingredient Contest#
Wendy Wandia
-

Kuldeep Kaur
-

Kuldeep Kaur











Comments