Unasema grilled ribs unakosea😋😋

Sam Ngengi
Sam Ngengi @Sam_ngengi
kikuyu, kenya
Edit recipe
See report
Share
Share

Ingredients

1hour
3 people
  1. Goat ribs
  2. Soy sauce, salt, barbeque sauce, na vitunguu

Cooking Instructions

1hour
  1. 1

    Panga nyama kwa double sided pan design kama hio

  2. 2

    Mwagilia chumvi na tumaji na ufunike for 15min

  3. 3

    Mwagilia mafuta, soy sauce na barbeque sauce sasa, eka timer ya 7 min na unashake pan everytime timer inaisha

  4. 4

    Kata kata kitunguu weka huko ndani na uifunikie harufu na ladha zijuane

  5. 5

    Si unajua kupika ugali? Make some and serve with the ribs on a large platter so as to share, even if you are sharing with yourself

Edit recipe
See report
Share

Cooksnaps

Did you make this recipe? Share a picture of your creation!

Grey hand-drawn cartoon of a camera and a frying pan with stars rising from the pan
Cook Today
Sam Ngengi
Sam Ngengi @Sam_ngengi
on
kikuyu, kenya

Comments (6)

Similar Recipes