Githeri Karanga na Ka-Ova

Maina Ndegwa
Maina Ndegwa @cook_16802612

Hii ni ya mahustla wote wa mtaa.

Githeri Karanga na Ka-Ova

Hii ni ya mahustla wote wa mtaa.

Edit recipe
See report
Share
Share

Ingredients

1/2 servings
  1. Githeri ya Mathe
  2. 1Onion
  3. 2Tomatoes
  4. Dania za 10 (optional)
  5. Ovacado
  6. Pilipili
  7. Cooking oil
  8. Salt
  9. Willpower to cook good food

Cooking Instructions

  1. 1

    Wekelea sufuria Kwa Moto na umwage mafuta ya kupika ndani.

  2. 2

    Mafuta ikishakuwa Moto, weka vitunguu mpaka zikuwe Golden Brown.

  3. 3

    Sasa weka nyanya na ungojee zipikike mpaka ziunde paste thick..Unaeza zifinya na cooking stick yako pia kufastisha kama gas inaisha 😂...Also make sure umeongeza salt kiasi yake..

  4. 4

    Ikishakuwa, weka githeri yako freshi ndaani na ufunike Kwanza ishike kajoto...Alafu after a minute ukoroge ndio hiyo paste ingie kila mahali vifreshiii...

  5. 5

    In the meantime food ikiiva, osha ovacado na uiapishe hapo na kisu very fast into two beautiful halves zikingoja justice ya kagitheri..

  6. 6

    Wale wa kuset waset 😂

  7. 7

    After 7-12mins, pakua githeri bro ukule food.

  8. 8

    Alafu have a goodnight. Mob love

Edit recipe
See report
Share

Cooksnaps

Did you make this recipe? Share a picture of your creation!

Grey hand-drawn cartoon of a camera and a frying pan with stars rising from the pan
Cook Today
Maina Ndegwa
Maina Ndegwa @cook_16802612
on
I love food
Read more

Comments

Antonina Wangui
Antonina Wangui @cook_16805048
😂😂😂hustla and i can see pizza inn serviettee

Similar Recipes