Vegetable chapati

Biby Mueni @cook_13886125
My gals love the chapatti en they enjoy eating them without soup😅.
# vegetable contest
Vegetable chapati
My gals love the chapatti en they enjoy eating them without soup😅.
# vegetable contest
Steps
- 1
Chukua ngano weka chumvi Na sukari koroga.
- 2
Weka mafuta y samli kiasi ambayo umechemsha yakawa moja alafu changanya pamoja.
- 3
Sasa weka carrot zako changanya alafu weka maji ya vuguvugu kidogo kidogo mpaka unga ushikane.
- 4
Funia na towel kwadakika 15 alafu kama madoge 4 mkubwa.
- 5
Kila donge sukuma alafu ukate vipande vipande
- 6
Sukuma kila kipande ndio uchome.
- 7
Choma moja baada ya nyengine.
- 8
Serve Na mboga,kuku ama nyama.
Similar Recipes
More Recipes
-

Swati Sheth
-

Healthy Punjab Starts Here! (JICA MSNA, Punjab)
-

Healthy Punjab Starts Here! (JICA MSNA, Punjab)
-

Supriya Devkar
-

Yongjie -

Ankita Kapil Varshney
-

Suchitra S(Radhika S)
-

Uzma Syed
-

🌈NinjaMommaKitchen🌈
-

NCCook
-

Teresa Tsang
-

cookwhenbored
-

Living Without A Gallbladder
-

Healthy Chicken Vegetables Soup
Shayla Saleem -

Raduma Jamse (0716271944)
-

Beaty Roberts
-

Divya Jain
-

Kale Coleslaw with Yoghurt Dressing
Hiroko Liston
-

Super wonder Carrot Beet Juice
Ruchita Saxena
-

Owcharizard
-

Raduma Jamse (0716271944)
-

Habiba Abubakar
https://cookpad.wasmer.app/us/recipes/6923692














Comments