Mahamri ya kiswahili

Mtajuaje me ni wa pwani? 😂 Imekosa mbaazi ya nazi tu😋. Utamu tu.
Mahamri ya kiswahili
Mtajuaje me ni wa pwani? 😂 Imekosa mbaazi ya nazi tu😋. Utamu tu.
Steps
- 1
Pima kila kitu ambacho utahitaji. Weka unga wako katika bakuli. Ongeza sukari.
- 2
Changanya vizuri. Weka iliki (cardamon) na hamira (yeast)
- 3
Changanya vizuri. Weka blueband. Pima maziwa kidogo ukikanda unga.
- 4
Weka kijiko moja ya mafuta na uendelee kukanda hadi iwe laini. Funika ili iweze kufura kama saa moja.
- 5
Baada ya kufura. Tengeneza shepu ya round. Kata mara nne.
- 6
Endelea kutengeneza hadi dough yako iishe.
- 7
Ipe muda kidogo zaidi ifure tena. Weka mafuta kwenye jiko yako. Isiwe moto sana au itachoma Mahamri.
- 8
Choma na ukuwe makini usijichome.
Similar Recipes
More Recipes
-

Nargis shaikh Shaukat
-

Vilde!:)
-

Mridula Srivastava
-

🥧 Old-School 90s Chicken Pot Pie
🎀 Her Kitchen Diary 🎀
-

Aishwarya Kitchen A
-

Honey Apple Curd Smoothie (Honey & Elaichi Infused Apple Lassi)
Krishna Dholakia
-

Heenaba jadeja
-

Francesco
-

Sarvat Hanif
-

Pinkblanket's Kitchen
-

J. Boo
-

Ayam Rendang / Chicken Rendang
Anne Amin
-

J. Boo
-

Peerkangai thuvaiyal (ridge gourd)
Keshavi Krishnan
-

Sabby
-

Suvas Shah
-

Ummy Alqaly
-

Keshavi Krishnan
-

Sammy_veg
-

Anny Faisal
-

Fittest Chef
-

Samra Suhail














Comments