Pilipili ya kupika.(chachandu) in tanzania

Beritha Mtei @berry_dishes
Pilipili ya kupika.(chachandu) in tanzania
Steps
- 1
Osha mahitaji yako yote kwa ajili ya kuunza maandalizi.
- 2
Katakata vitunguu,hoho na karoti na usage.
- 3
Vikishalainika tia pilipili zako ambazo utakuwa tayari umeshakata.
- 4
Toa weka pembeni kisha saga nyanya.
- 5
Changanya vyote kwenye sufuria na upike kwa moto wa wastani kwa mdaa wa dakika 13.
- 6
Chukua vipande vyako vya saumu vilivosagwa kisha ongeza kwenye sufuria yako.kisha tia chumvi kidogo.
- 7
Funika kwa mdaa wa dakika 3 kisha weka mafuta yako.
- 8
Dakika moja kisha unatoa.Hapa ukiepua ndio unatia (black paper yako kijiko kimoja kikubwa)
- 9
Koroga kisha kuamulia ndimu yako.
- 10
Subiria pilipili yako ipoe kisha funika vizuri na uweke kwenye fridge
Similar Recipes
More Recipes
-

Francesco
-

Sarvat Hanif
-

Sienna McCarthy
-

Kipp Clark
-

Cyrus Sifa
-

Kulsoom Bukhari
-

Ryan
-

Lubna’s Kitchen
-

Dr. RAJNI GUPTA
-

Padmini Venkatesan
-

Lauren Maxwell
-

Chinese Crispy Crackling roasted pork belly 腩仔燒肉
LazyCook_HK
-

Pawon Indo Bule
-

Brooke
-

Michael Sullivan -

Anchals kitchen -

phidilliah Njoya
-

Shubhangi Asabe Katkar -

abjadoon -

Dipti debnath
-

Owino Silvester
-

Mamta Mehta
-

White chocolate Millie feullie
Chandu Pugalia
-

Fatema Burhani
https://cookpad.wasmer.app/us/recipes/5703960







Comments