Maharagwe ya nazi na wali
Khadija Abdul @cook_12198226
Maharagwe ya nazi na wali
Steps
- 1
Osha maragwe bandika jikoni na preasure cooker kwa dakika 30 maharagwe tayari,,kuna nazi chuja itoke tui mara 2, chujia tui lepesi kwa maragwe kata pilipili boga ktungu maji na twaga ktungu saum tia na curry powerd yaache yamchemke mpaka yakauke tui jepesi nyunyuza tui lizito ulio kamua mwanzo
- 2
Mchele roeka kiasi bandika maji ikikaribia kuchemka weka mchele chumvi na mafuta wacha ichemke mpaka maji ishie..
- 3
Supu ya kuku mix kuku ktungu chumvi ichemka tayari
- 4
Enjoy na ndizi na ndimu(lemon)
Similar Recipes
More Recipes
-

C M
-

🌶️🔥 Fiery Red Hot Sauce | Chunky, Tangy & Irresistibly Spicy!
Gurpal kaur Ubhi's {Heavenly Jewel Kitchen}
-

C M
-

C M
-

C M
-

C M
-

C M
-

Chicken breast with my own bbq sauce
kostas1213
-

kostas1213
-

@chefcraig
-

Roopal Mandavia
-

Chef Aarti Nijapkar
-

Coconut - Pilau Recipe #CostalCoconutRecipeChallenge
Brenda Jepkemboi
-

Rita Naru
-

Mukti Sahay
-

meena Navaratna
-

Sadhana Mohindra
-

Roasted Tomato Basil Pesto Pasta
Ruchi Sharma
https://cookpad.wasmer.app/us/recipes/4838901













Comments